Baraza jipya la mawaziri nchini Tanzania
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 09:53
Makala haya ya “Habari Rafiki”, yanaangazia kuhusu baraza jipya la mawaziri nchini Tanzania, baraza ambalo lilitangazwa tarehe 19 januari mwaka huu. Katika baraza hili mawaziri wapya ni wawili, na wengine waligeuziwa nyadhifa zao.Ungana na Ebby Shaban Abdallah............