Taarifa zote kuhusu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

Familia 150 waliokimbia mapigano ya waasi wa ADF
Imehaririwa: 03/06/2016 - 15:05

Tunarejelea taarifa kuhusu uchaguzi uliogubikwa na utata nchini DRCongo, vita vya kundi la M23 na majeshi ya Serikali FARDC, pamoja na harakati za kuwasaka waasi wa kundi la ADF- Nalu wa uganda waliopiga kambi nchini humo na wale wakihutu wa Rwanda wa FDLR.