Usalama na Siasa nchini Kenya
Kenya imekuwa ikikabiliwa na mashambulizi ya kigaidi kutoka kwa kundi la kigaidi la Al-Shabab kutoka nchini Somalia, tangu ilipopeleka wanajeshi wake nchini humo kukabiliana na kundi hilo mwaka 2011.Al-Shabab imetekeleza mashambulizi kadhaa mjini Mombasa na jijini Nairobi hasa katika jengo la Kibiashara la Westgate na mtaani Eastleigh.Pata pia uchambuzi wa kina kuhusu maswala mbalimbali ya siasa na yale ya kijamii nchini humo .