Habari RFI-Ki

Hatima ya wasichana zaidi ya 200 waliotekwa na Boko Haram nchini Nigeria yazidi kuwa hatarini

Sauti 09:39
Wasichana zaidi ya 200 waliotekwa nyara na kundi la Boko Haram katika picha iliyotolewa na kundi hilo
Wasichana zaidi ya 200 waliotekwa nyara na kundi la Boko Haram katika picha iliyotolewa na kundi hilo RFI-Cambodgian by chheang

Katika makala haya hii leo , tunaangazia hatima ya wasichana zaidi ya 200 waliotekwa nyara na kundi la Boko Haram, baada ya serikali ya Nigeria kutupilia mbali ombi la kiongozi wa kundi hilo kutaka kuachiwa huru kwa wafungwa wake.Karibu