Jua Haki Zako

Sehemu ya pili ya mada kuhusu mirathi

Sauti 10:26
Wanawake wajane nchini Haiti wakiadamana kudai haki zao. Wanawake wengi walio wajane wanaathirika na suala zima la mirathi baada ya wakwe kutaka kurithi mali za marehemu na wakati mwingine hata kutaka kuwarithi wao wenyewe.
Wanawake wajane nchini Haiti wakiadamana kudai haki zao. Wanawake wengi walio wajane wanaathirika na suala zima la mirathi baada ya wakwe kutaka kurithi mali za marehemu na wakati mwingine hata kutaka kuwarithi wao wenyewe. AFP PHOTO/Erika SANTELICES

Fuatilia sehemu ya pili ya mada hii ya mirathi. Wanasheria na moja wa wanawake wanaoathirika na mirathi anasimulia machache ya changamoto anazozipata. Endelea kuelimika na kuhabarika.