Habari RFI-Ki

Maji safi na salama barani Afrika

Sauti 09:52
Wananchi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati wakisubiri kuchota maji kwenye kisima jirani na mpaka wa Chad
Wananchi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati wakisubiri kuchota maji kwenye kisima jirani na mpaka wa Chad REUTERS SIEGFRIED MODOLA

Katika makala haya tunaangazia hali ya upatikanaji wa maji safi na salama barani Afrika wakati huu kongamano kuhusu maji safi na salama Afrika likifanyika Dakar Senegal, karibu ufahamu changamoto wanazokabiliana nazo wananchi wa bara Afrika.