Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Shirika la kimataifa la kutetea Haki za binadamu la Haki za Binadamu la Human right watch laiomba Serikali ya DRC kuwalinda wanaharakati wa mazingira

Sauti 21:46

Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la HRW kuitaka serikali ya DRC kutupia jicho suala zima la Usalama wa Wanaharakati wa Mazingira ambao wamekuwa wakitishiwa maisha baada ya kupinga mradi wa uchimabji wa mafuta ndani ya mbuga ya wanyama ya Virunga,Raisi mteule wa Nchi ya Malawi mutharika kuapishwa, Huku Kimataifa, Marais wa Urusi Vladmir Putin na Rais aliyechaguliwa nchini Ukraine, Petro Poroshenko, wamekutana kwa kwa mara ya kwanza.Viongozi hao wawili walizungumza juu ya kuzorota kwa uchumi kunakotokana na ghasia za kisiasa nchini Ukrain.Serikali ya Ufaransa juma hili iliaadhimisho ya miaka 70 tangu mataifa ya Ulaya kukombolewa kutoka kwa Wanazzi.Ungana nami Mwandishi Reuben Lukumbuka Ben Saleim, kupata mengi zaidi,.........