Mjadala wa Wiki

Brazil 2014: Kombe la dunia na nafasi za timu za Afrika

Imechapishwa:

Michuano ya soka  kuwania kombe la dunia inaanza Alhamisi hii nchini Brazil.     Mataifa 32 kutoka kona zote duniani yanashriki kutafuta ubingwa wa taji hili.Katika Mjadala wa wiki tunajadili, nafasi ya timu za Afrika ambazo ni Nigeria, Cameroon, Ghana, Cote Dvoire na Algeria katika michuano hii.Je inawezekana Afrika ikaibuka bingwa ?