Siasa Sudan Kusini

Sauti 10:03
Rais wa Sudan Kusini na kiongozi wa waasi Riek Machar
Rais wa Sudan Kusini na kiongozi wa waasi Riek Machar

Serikali ya Sudan Kusini, imeiomba serikali ya Uganda kuzungumza na Jumuiya ya Kimataifa na kuilewesha kuwa rais Salva Kiir hawezi kujiuzulu kama wanavyodai waasi wanaoongozwa na Riek Machar.Aidha, serikali na waasi wamesusia mazungumzo ya amani jijini Addis Ababa nchini Ethiopia baada ya kudai kuwa wamekasirishwa na kauli ya wasuluhishi  wa IGAD  kuwa pande hizo mbili zinataka kumaliza mzozo huu kwa kutumia nguvu.Tunajadili maswala haya katika Makala ya Juma hili ya Wimbi la Siasa.