Habari RFI-Ki

Zaidi ya wanafunzi laki sita kufanya mitihani ya kufuzu kidato cha sita nchini DR Congo

Sauti 09:03

Takribani wanafunzi laki sita wa nchini Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo wanafanya mitihani ya kufuzu kidato cha sita nchini humo kwa siku nne mfululizo,pengine ni yapi hujitokeza katika kipindi hiki?jiunge nasi katika habari rafiki!