Hukumu iliyotolewa na Mahakama moja Misri dhidi ya Wanahabari watatu wa shirika la Televisheni Aljazeera yakosolewa kimataifa

Sauti 12:11
Waandishi wa Habari wa Kituo cha Al Jazeera
Waandishi wa Habari wa Kituo cha Al Jazeera AFP/Khaled Desouki

hii leo Katka Mjadala wa Wiki tunazungumzia hukumu iliyotolewa na mahakama moja ya Misri dhidi ya waandishi watatu wa Al Jazeera kifungo cha miaka saba jela kwa mashitaka ya kuwaunga mkono Muslim Brotherhood chama kilichopigwa marufuku nchini Humo, kesi ambayo imelaaniwa kimataifa.Nikumbushe tu kwamba Waandishi hao watatu waliohukumiwa mjini Cairo ni pamoja na raia wa Australia Peter Greste , raia wa Canada mwenye asili ya Misri Mohamed Fahmy na raia wa Misri Baher Mohamed ambaye alihukumiwa miaka mitatu zaidi kwa makosa mengine.Ungana nami Reuben Lukumbuka, kusikiliza Makala haya,.................