Upinzani nchini Kenya wapanga kuandamana
Imechapishwa:
Sauti 12:53
Katika Makala haya Mjadala wa Wiki Juma hili tunaangazia kuhusu hatuwa ya upinzani nchini Kenya kupanga maandamano tarehe 7 mwezi wa 7, mharufu kama saba saba, muandishi wetu Ali Bilali akiwa pamoja na wachambuzi Bishop Methu na Balozi Bethuel Kiplagati