Sudan Kusini yaadhimisha miaka 3 ya uhuru

Sauti 14:55
Raia wa Sudan Kusini wakisherehekea uhuru wao mwaka 2011
Raia wa Sudan Kusini wakisherehekea uhuru wao mwaka 2011 REUTERS/Thomas Mukoya

Sudan Kusini inaadhimisha mitatu ya Uhuru wa taifa lao tangu walipojitenga na Sudan mwaka 2011.Katika kipindi hicho chote, Sudan Kusini imekabiliwa na machafuko baada ya wanajeshi wa serikali kuanza kukabiliana na waasi wa aliyekuwa Makamu wa rais Riek Machar.Tunajadili miaka mitatu ya Uhuru wa Sudan Kusini, je raia wa nchi hiyo wana lolote la kufurahia ?