Tanzania mstari wa mbele kuitetea Misri kuhusu matumizi ya mto Nile, pia sura mpya kisiasa Kenya juma hili

Sauti 21:32

Katika mtazamo wako juma hili tunaangazia msimamo wa nchi ya Tanzania na utayari wake wa kuwa mstari wa mbele kuitetea nchi ya Misri kuhusu matumizi ya maji ya mto Nile,- Ripoti ya Shirika la kimataifa la Kutetea Haki za binadamu la Amnesty International kuhusu serikali ya Kenya kushgindwa kuwapa haki wahathiriwa wa ,machafuko ya baada ya uchaguzi mkuu mwaka 2007.-Nchini DRC Ubakaji kuendelea kukithiri mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasai ya Congo, lakini pia katika uga wa kimataifa ni mashambulizi yanayotekelezwa na jeshi la Israeli katika ukanda wa Gaza.