Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mtazamo wako kuhusu mkutano wa Marekani na viongozi wa mataifa ya Afrika, pia tahadhari dhidi ya Ebola

Sauti 21:16

Ni juma lililoanza na Sherehe ya Eid Fitri baada ya kutamatishwa kwa funga ya mwezi mtukufu wa ramadhani katika mataifa kadhaa duniani, na miongoni mwa mengi yaliyojiri barani afrika, ni pamoja na hali ya tahadhari kuchukuliwa katika mataifa ya Afrika magharibi kufwatia ugonjwa wa Ebola,Nao wanaharakati wa Uganda kufungua kesi katika mahakama ya katiba nchini humo kutaka mabadiliko katika sheria ya kupambana na mapenzi ya jinsia moja.wakati nchini DRC Jeshi la serikali fardc, kuwaonya waasi wa Uganda wa kundi la ADF Kujisalimisha silaha zao. -na katika uga wa kimataifa mgogoro baina ya Israeli na Palestina kuhusu suala la usitishwaji wa majibizano katika ukanda wa Gaza, kuendelea;Ungana nami Ruben Lukumbuka