Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Shirika la afya duniani kutangaza Ebola kuwa janga la kimataifa, upinzani nchini DRC kupinga kukamatwa kwa katibu mkuu wa chama cha UNC

Imechapishwa:

Shirika la afya duniani WHO kutangaza kuenea kwa ugonjwa wa Ebola Magharibi mwa afrika kama janga la kimataifa.kuhitimishwa kwa mkutano wa viongozi wa mataifa ya kiafrika na Marekani; nchini DRC Umoja wa Ulaya wasikitishwa na kuzuiliwa kwa katibu mkuu wa chama cha upinzani cha UNC, na hali kadhalika Marekani kusisitiza juu ya msimamo wake wa kulitaka kundi la waasi wa kihutu la FDLR Kujisalimisha silaha zao; na katika uga wa kimataifa mgogoro baina ya Israeli na Palestina kuhusu suala la usitishwaji wa majibizano katika ukanda wa Gaza, kuwa na sura.Ungana nami Ruben Lukumbuka kusikiliza mengi zaidi.

Sayari ya dunia
Sayari ya dunia
Vipindi vingine