Mjadala wa Wiki

Shirika la afya duniani WHO laidhinisha matumizi ya dawa ya majaribio kukabiliana na Ugonjwa wa Ebola

Sauti 18:50
Kutoka kushoto, Elias Chinamo wa wizara ya afya Tanzania, Reuben Lukumbuka Mtangazaji, dokta Vida Makundi Wizara ya afya Tanzania
Kutoka kushoto, Elias Chinamo wa wizara ya afya Tanzania, Reuben Lukumbuka Mtangazaji, dokta Vida Makundi Wizara ya afya Tanzania RFIKiswahili

Nchi za afrika magharibi zinaendelea na harakati zake za kupiga vita ugonjwa hatari wa ebola ambao sasa umekuwa ni janga la kimataifa kuanzia nchi hizo, ambapo kwa mujibu wa takuimu iliyotolewa na shirika la afya duniani, WHO vifo zaidi ya elfu moja vimeidadishwa katika eneo hilo la afrika magharibi, huku likiidhinisha utumizi wa dawa ya majaribio maarufu zmapp kutoka marekani.Kulizungumzia hili tunaungana na Daktari Vida Makundi Mmbaga, mtaalamu wa ufuatiliaji na udhibiti wa magonjwa ya kuambukiza, naye Elias Chinamo, mkurugenzi msaidizi afya na usafi na mazingira; wizaraya afya na usitawi wa jamaii wote ni kutoka Wizara ya afya hapa nchini Tanzania, na hapa tunazungumiza hatua zinazokuchukuliwa na serikali za Afrika mashariki kuudhibiti ugonjwa huo.