Mahasimu katika mgogoro wa Nchi ya Sudan Kusini watia sahihi Makubaliano ya amani

Sauti 14:55
Kiongozi wa waasi Riek Machar (Kulia.) na raisi wa Sudan Kusini Salva Kiir (kushoto.),Huko Addis-Abeba, lors de la signature de l'accord de paix, le vendredi 9 mai 2014.
Kiongozi wa waasi Riek Machar (Kulia.) na raisi wa Sudan Kusini Salva Kiir (kushoto.),Huko Addis-Abeba, lors de la signature de l'accord de paix, le vendredi 9 mai 2014. REUTERS/Goran Tomasevic

Katika Makala haya tunaangazia kusainiwa kwa makubaliano mapya ya kusitisha mapigano nchini Sudan Kusini. Mahasimu katika mgogoro wa Sudan Kusini ambao umeligubika taifa hilo kwa muda wamiezi 8 sasa huku Umoja wa mataifa inasema yamegharimu maisha ya watu takribani elfu moja.Jumuiya ya IGAD inayopatanisha kati ya Rais Salva Kiir na kiongozi wa waasi Riek Machar imekaribisha tukio la kusainiwa makubaliano hayo, na kuwataka Kiir na Machar kuunda serikali ya umoja wa kitaifa katika kipindi cha siku 45. Ungana nami Ruben Lukumbuka katika makala haya.