Changu Chako, Chako Changu

Muziki wa Salsa na chimbuko ya Soukouss ya Congo

Sauti 19:51
"Notre Père Rumba" de Papa Wemba
"Notre Père Rumba" de Papa Wemba

Licha ya umaarufu wa muziki wa Kongo, chimbuko lake linatoka kwenye muziki wa rumba ya Cuba.