Uchaguzi Mkuu nchini Msumbiji

Sauti 13:01
Mpiga kura nchini Msumbiji
Mpiga kura nchini Msumbiji REUTERS/Grant Lee Neuenburg

Wananchi wa Msumbiji wanapiga kura o kumchagua rais mpya, lakini ia kuwachagua wabunge katika Uchaguzi Mkuu kote nchini.Wagombea urais ni pamoja na Filipe Nyusi wa chama tawala, cha FRELIMO, Alfonso Dhlakama mwaasi wa zamani wa RENAMO na Daviz Simango wa chama cha MDM.Tume ya Uchaguzi imeahidi kuwa Uchaguzi huo utakuwa huru na haki.Kuzungumzia Uchaguzi huu ni Abdulkarim Atiki mchambuzi wa siasa za Kimataifa akiwa jijini Dar es salaam nchini Tanzania, na Francis Wambete Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Makerere jijini Kampala nchini Uganda.