Muziki Ijumaa na Dety Darba

Sauti 11:58
facebook/detydarba

Makala haya ya Muziki Ijumaa Juma hili Ali Bilali anamleta kwenu Dety Darba ni msanii kutoka mashariki mwa DRCongo katika Mji wa Goma ambae anafanya vizuri kwa sasa katika eneo hilo, ambapo hivi karibuni alikuwa miongoni mwa wasanii waliotumbwiza na msanii nguli wa Marekani Akon katika tamasha la Amani lilifanyika katika uwanja wa ndege wa Goma mwezi Septemba iliopita.

Matangazo ya kibiashara