Wakaazi wa Mashariki mwa DRC wawashtumu wanajeshi wa MONUSCO

Sauti 10:09
Mamia ya wakaazi wa Beni wakiandamana dhdi ya kikosi cha wanajeshi wa Umoja wa Mataifa nchini Congo
Mamia ya wakaazi wa Beni wakiandamana dhdi ya kikosi cha wanajeshi wa Umoja wa Mataifa nchini Congo REUTERS/Kenny Katombe

Alhamisi hii katika Makala ya Habari Rafiki, tunajadili hatua ya baadhi ya wakaazi wa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuandamana na kuwashtumu wanajeshi wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani MUNUSCO kwa kushindwa kuwalinda kutokana na mauaji ya mamia ya watu Wilayani Beni baada ya kuvamiwa na waasi wa ADF NALU.