Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania lajadili akaunti ya Tegeta Escrow, usalama wa mashariki ya DRC mashakani.

Sauti 21:39

Kamati ya bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania ya hesabu za serikali na mashirika ya umma nchini Tanzania PAC hapo jana iliwasilisha taarifa yake bungeni kuhusu uchunguzi uliofanywa na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali CAG kuhusu akaunti ya Tegeta Escrow, na kupendekeza kujiuzulu kwa wahusika, Hali ya usalama ya mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo kusikitisha, na huko Kenya usalama uliimarishwa huko Mandera baada ya mauaji ya watu 28.wakati kimataifa, Hali ya vurugu kujitokeza huko Ferguson Marekani baada ya mahakama kumsafisha afisa wa polisi mzungu aliyetuhumiwa kumuua mvulana mwenye asili ya kiafrika.Ungana nami Reuben Lukumbuka, katika makala haya.