Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Muhimu katika makala juma hili: Uchaguzi nchini Namibia, Usalama kuzorota nchini Kenya

Sauti 21:52

Miongoni mwa habari zilizopewa uzito kwa juma hili ni pamoja na hali ya usalama kuendelea kuzorota nchini Kenya, chama tawala nchini Namibia cha Swapo chajinyakulia ushindi kwenye uchaguzi mkuu nchini humo, umoja wa ulaya kutishia kusitisha misaada yake kwa nchi ya jamhuri ya kidemokrasia ya congo. Ulihitimishwa mkutano wa viongozi wa mataifa yanayozungumza lugha ya kifaransa huko Dakar nchini Senegal, Zoezi la kuwaandikisha wapiga kura kuanzishwa nchini Burundi,humo Marekani ghasia, zogo kubwa kuendelea nchini nchini humo baada ya mahakama moja kumsafisha afisa mzungu aliyemuua raia mwengine wa Marekani mwenye asili ya kiafrika,Ungana nami Reuben Lukumbuka hadi mwisho.