Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Uchaguzi nchini Zambia, maandamano ya upinzani nchini DRC, Mahasimu wa Sudan Kusini kusaini mkataba wa amani mjini Arusha

Sauti 21:43

Katika Makala ya matazamo wako kwa yaliyojiri wiki hii, tunaangazia vurugu zilizojitokeza nchini DRC kupinga kuidhinishwa kwa sheria mpya ya uchaguzi nchini humo, uchaguzi nchini Zambia, na kusainiwa kwa mkataba wa kusitisha mapigano nchini Sudan Kusini, sherehe ambazo zilifanyika mjini Arusha nchini Tanzania.Kimataifa lakini pia ziara ya Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis katika nchi kadhaa barani Asia.Ungana na Reuben Lukumbuka kusikiliza makala haya.....