Habari RFI-Ki

Mashirika ya kiraia Tanzania kufungua kesi ya kutaka mchakato wa kura ya maoni kuhusu katiba mpya usitishwe

Sauti 09:00
Mashirika ya kiraia nchini Tanzania yanaona kwamba muda uliobaki hautoshi kwa wananchi kuisoma na kuielewa katiba inayopendekezwa
Mashirika ya kiraia nchini Tanzania yanaona kwamba muda uliobaki hautoshi kwa wananchi kuisoma na kuielewa katiba inayopendekezwa

Mashirika ya kiraia nchini Tanzania yanafikiria kufungua kesi mahakamani ili kusitishwa kwa mchakato wa kupigia kura ya maoni katiba inayopendekezwa kwa kuona kwamba muda hautoshi kwa mchakato huo kukamilika kwa vile bado wananchi hawana muda wa kutosha kupitia katiba inayopendekezwa...