Habari RFI-Ki

Nini kikwazo cha suluhu ya mzozo Sudani Kusini?

Sauti 09:02
Rais Sava Kiir (kushoto) akiwa pamoja na kiongozi wa waasi Riek Machar (kulia) Mei 9 Addis Ababa.
Rais Sava Kiir (kushoto) akiwa pamoja na kiongozi wa waasi Riek Machar (kulia) Mei 9 Addis Ababa. REUTERS/Goran Tomasevic

Makala ya habari rafiki inaangazia kwanini amani ya Sudani Kusini haipatikani,kuna matumaini yoyote katika makubaliano ya sita ya amani kati ya pande mbili hasimu za Sudan Kusini?