Habari RFI-Ki

Kuelekea siku ya sheria nchini Tanzania,mahakama yatoa elimu ya kimahakama kupitia maonesho jijini Dar

Sauti 10:23
Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete ambaye alikuwa mgeni rasmi katika sherehe za siku ya sheria nchini Tanzania,aliwaasa waendesha mashtaka kutokuwa na pupa
Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete ambaye alikuwa mgeni rasmi katika sherehe za siku ya sheria nchini Tanzania,aliwaasa waendesha mashtaka kutokuwa na pupa TZ govt

Makala ya habari rafiki inaangazia maonesho ya kisheria yaliyotolewa na mahakama ya Tanzania katika kuelekea siku ya sheria Tanzania..wanachi walipata fursa ya kujifunza mambo mbalimbali ya mahakama....