Habari RFI-Ki

Waasi;Majeshi ya kigeni ni chanzo cha mapigano Sudan kusini

Sauti 09:52
Rais Sava Kiir (kushoto) akiwa pamoja na kiongozi wa waasi Riek Machar (kulia) Mei 9 Addis Ababa.
Rais Sava Kiir (kushoto) akiwa pamoja na kiongozi wa waasi Riek Machar (kulia) Mei 9 Addis Ababa. REUTERS/Goran Tomasevic

Waasi wa Sudani Kusini wanadai kuwa kuendelea kuwepo kwa majeshi ya kigeni nchini humo kunachangia kuendelea kwa mapigano,hayo yanajiri wakati serikali ya Uganda na ya Sudani kusini zimekubaliana jeshi la Uganda kusalia Sudani kusini kwa miezi minne zaidi....