Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Jeshi la serikali ya jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, laanzisha rasmi pambano dhidi ya FDLR

Imechapishwa:

Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Juma hili lilitangaza kuanzisha operesheni kabambe dhidi ya waasi wa Kihutu wa Rwanda wa FDLR wanaoendesha harakati zao mashariki mwa nchi hiyo, siku chache baada ya jeshi la Umoja wa mataifa kususia operesheni hizo.Juma hili mahasimu katika mzozo unaolikumba taifa la Sudan kusini walikutana jijini Addis ababa nchini Ethiopia, kusaka suluhu kuhusu uundwaji wa serikali ya mpito nchini humo.Ungana nami kusikiliza matangazo haya.

Sayari ya dunia
Sayari ya dunia