UGANDA-ICC-ONGWEN-SHERIA
Fatou Bensuda akamilisha ziara yake Uganda
Imechapishwa: Imehaririwa:
Kiongozi wa Mashtaka katika Mahakama ya Kimataifa ya ICC Fatou Bensouda amemaliza ziara yake ya siku tano nchini Uganda.
Matangazo ya kibiashara
Fatou Bensouda amepata hakikisho kutoka kwa rais Yoweri Museveni ambaye amemwambia serikali yake itashirikiana naye kuhakikisha kuwa kesi dhidi ya Kamanda wa juu wa kundi la LRA Dominique Ongwen inafikishwa osini mwake.