Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mapigano mapya kati ya wanajeshi wanaomtiii Salva Kiir wa Sudan Kusini na Waasi yaliripotiwa juma hili,

Imechapishwa:

Ni juma ambalo lilishuhudia mahasimu wawili waliokuwa wanakutana jijini Addis Ababa nchini Ethiopia kwa mara nyingine tena walishindwa kufikia mwafaka katika kuundwa kwa serikali ya muungano wa kitaifa licha ya muda wa ziada waliopewa na wapatanishi kusawazisha tofauti zao.Upinzani nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, ulipendekeza kufanyike maboresho ya kalenda ya uchaguzi wa mwaka wa 2016, jambo ambalo hadi sasa limezua mjadala katika taifa hilo nzima.Rais yoweri Museveni ameahidi kwa mara ya kwanza kushirikiana na ICC,Wakati kimataifa, waziri mkuu wa Israeil aliikosoa Marekani kuihimiza Iran kuendelea na mradi wake wa nyuklia. Netanyahu aliyasema hayo, pale alipolihutubia bunge la Marekani juma hili.Ungana nami Reuben Lukumbuka katika kusikiliza makala haya. 

Sayari ya dunia
Sayari ya dunia