Tamasha la Muziki Tanzania

Raia watatu kutoka Mali na Ufaransa katika tamasha la Muziki
Imehaririwa: 09/06/2016 - 11:55

RFI Talent inakuletea nchini Tanzania  " Electro Bamako".Pata uhondo kupitia vijana watatu kutoka Mali na Ufaransa watakaokuliwaza katika tamasha la Muziki litakalofanyika :    - Machi 26 mwaka 2015, katika Ukumbi wa Alliance Française mjini Dar es Salaam.    - Machi 28 mwaka 2015, katika Ukumbi wa Alliance Française mjini Arusha.Taarifa zaidi, tembelea : www.afdar.com