Mjadala wa Wiki

Uchaguzi nchini Nigeria kufanyika mwishoni mwa juma hili.

Imechapishwa:

Katika Mjadala wa wiki, hii leo  tunazungumzia maandalizi ya uchaguzi nchini Nigeria unaotazamiwa kufanyika mwishoni mwa wiki hii. Raisi Barack Obama ametoa wito kwa wa Nigeria kusitisha vurugu hasa kuelekea uchaguzi mkuu wa nchi hiyo na kwamba kwamba nchi hiyo inapaswa kufanya uchaguzi ulio huru na wa haki..   Wasi wasi wa hali ya usalama umezidi kuongezeka nchini humo kadiri siku ya kupiga kura inavyokaribia baada ya uchaguzi huo kuhairishwa mwezi uliopita kutokana na mashambulio ya kundi la Boko Haram.  Kulizungumzia hili nimewaalika Abdulkarim Atiki, huyu ni mchambuzi wa siasa za kimataifa akiwa jijini Daresalaam Nchini Tanzania,lakini pia Suba Chirchul, mchambuzi pia wa siasa akiwa Nairobi nchini Kenya naye aliyewahi kuwa mmoja kati ya waangalizi wa kimataifa katika Uchaguzi uliofanyioka Huko Nigeria mwaka wa 2011,....Ungana na mwandishi wetu Reuben Kakule Lukumbuka.     

Studi RFI Kiswahili jijini Dar es Salaam
Studi RFI Kiswahili jijini Dar es Salaam RFI/BILALI