Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Chama tawala nchini Burundi kumtangaza Mgombea wake, na hali ya wasiwasi mashariki mwa DRC, Mapigano Yemen

Sauti 21:34

Katika makala haya, tunaangazia kongamano kubwa la chama tawala cha Cndd-Fdd, hii leo mjini Bujumbura nchini Burundi lengo likiwa ni kumteua mgombea wake katika uchaguzi wa rais wa Juni 26Hali tete yaripotiwa mkoani Kivu-Kaskazini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, baada ya wanajeshi wa Rwanda na hali kadhalika wale wa Uganda kuvuka mpaka na kuingia katika ardhi ya nchi hiyo. Sababu mpaka sasa bado hazijajulikana.Mkutano wa viongozi wa Ulaya kujadili wimbi la ongezeko la wahamiaji haramu kutoka bara la Afrika,Ungana na mwandishi wetu Reuben Kakule Lukumbuka, kusikiliza....