Nyumba ya Sanaa

Usanii wa filamu mashariki mwa bara la Afrika.

Sauti 20:02
Msanii Elijah Kitomari wa Daresalaam
Msanii Elijah Kitomari wa Daresalaam Edmond Lwangi/ RFI KISWAHILI

Makala ya nyumba ya sanaa kwa juma hili inampokea msanii chipukizi wa utayarishaji wa filamu wa hapa mjini Daresalaam Elijah Kitomani, kuzungumzia tasnia yake pamoja na changamoto anazokabiliana.Wasanii wengi afrika mashariki haswa katika tasnia hii, huiga kazi za wenzao kutoka afrika magharibi mfano Nigeria, na pia maeneo mengine duniani, lakini awamu hii, msanii huyu anatueleza utafiti wa uboreshwaji wa kazi hii kwa hapa Tanzania.Karibu kuungana na Edmond Lwangi Tcheli, kusikiliza makala haya,.....