Mjadala wa Wiki

Ongezeko la machafuko nchini Burundi

Imechapishwa:

Wakati nchi ya Burundi ikielekea kwenye uchaguzi wa wabunge na urais, chama tawala nchini humo CNDD-FDD, kilimtangaza rais anayemaliza muhula wake Pierre Nkurunziza kugombea tena kiti hicho kwa muhula wa 3. hatua ambayo inapingwa na mashirika ya kiraia pia Upinzani nchini humo.Kulizungumzia hili, tumewaalika kwenye makala haya Brian Wanyama, mchambuzi wa kisiasa akiwa Bungoma nchini Kenya,  pia Francis Wambete, ni mhadhiri wa chuo kikuu cha Makerere mjini Kampala nchini Uganda.Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka katika maakala haya,.....

Studi RFI Kiswahili jijini Dar es Salaam
Studi RFI Kiswahili jijini Dar es Salaam RFI/BILALI
Vipindi vingine