Marekani yaionya Burundi kuahirisha uchaguzi mkuu wa julai, na waasi wa FDLR waghadhabishwa na kurejeshwa nyumbani kwa wapiganaji wao nchini Rwanda

Sauti 21:45
Sayari ya dunia
Sayari ya dunia

Serikali ya Burundi, yaiomba Burundi kuahirisha uchaguzi mkuu wa urais unaopangwa kufanyika nchini humo juma lijalo, lakini hata hivyo hali ya usalama inaendelea kudidimia hali ambayo inasababisha mamia kwa maelfu ya wananchi kukimbilia nchi jirani,Pia katika makala haya tunazungumzia hatua ya waasi wa kihutu wa FDLR kuelezea kughadhabishwa kwao kufwatia mpango wa kikosi cha umoja wa mataifa UN, Monusco kuwasafirisha wapiganaji tisa wa kundi hilo hadi Rwanda.Pia wananchi nchini Ugiriki wanatarajiwa kupiga kura ili kupinga mapendekezo ya wakopeshaji wakimataifa kuhusu deni linaloikabili nchi hiyo ya ugiriki.Karibu kuungana nami Reuben Lukumbuka katika makala haya,.....