Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

CCM kumpata John Pombe Magufuli kama mgombea wa urais kuelekea Uchaguzi Mkuu, maandamano kupinga muhula wa3 kwa rais Nkurunziza kuendelea nchini Burundi

Sauti 21:10
Na: Ruben Kakule Lukumbuka

Katika makala hii kwa juma hili, tunaangazia uteuzi wake waziri wa ujenzi nchini Tanzania John pombe Magufuli kuchaguliwa kupeperusha bendera ya chama tawala CCM wakati wa uchaguzi mkuu mwezi oktoba mwaka huu.Na nchini Burundi mazungumzo yanayozijumuisha pande zote husika katika kutafutia ufumbuzi mgogoro unaoendelea nchini humo chini ya mwamvuli wa upatanishi wa Uganda yalikua yanatazamiwa kufunguliwa Jumapili Julai 19 2015 bali kambi ya rais wala serikali wala chama tawala au washirika wake waliamua kususia mazungumzo hayo.Kimataifa tumegusia pia suala la mkopo wa umoja wa ulaya, shirika la fedha duniani, IMF na wakopeshaji wa kimataifa kwa ugiriki, siku chahe baada ya kura ya hapana kupinga mapendekezo hayo mapya. 

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.