Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Waziri mkuu wa zamani nchini Tanzania Edward Lowassa kujiunga na chama cha upinzani Chadema, na nchini Burundi mpinzani Agathon kuonekana Bungeni

Imechapishwa:

Habari zilizopewa uzito kwa juma hili ni huko tanzaniaambako waziri mkuu wa zamani aliyewahi kujiuzulu nafasi hiyo Edward Lowassa amejiunga na chama cha demokrasia na maendeleo akikihama chama tawala nchini humo CCM.Nchini Burundi kiongozi mkuu wa Upinzani nchini Burundi alichaguliwa kuwa naibu spika wa bunge katika uchaguzi ambao unaelekea kudhoofisha upinzani na kwa kushirikiana na Rais Pierre Nkurunziza ambaye anakosolewa kugombea muhula wa tatu.Rais wa Marekani Barack Obama kutamatisha ziara yake barani Afrika, huko Addis Ababa ambako aliwatolea wito viongozi wa afrika kuheshimu katiba ya mataifa yao.Habari za kimataifa zilitamatisha makala haya.Ungana nami Reuben Lukumbuka kusikiliza makala haya.

Sayari ya dunia
Sayari ya dunia
Vipindi vingine