Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mazungumzo kusaka amani nchini Sudan yafanyika Addis Ababa, Ethiopia, Profesa Ibrahim Lipumba wa CUF ajiuzulu huko Tanzania

Imechapishwa:

Katika makala haya tunaangazia matukio makubwa yaliyojitikeza barani Afrika, kwa namna ya pekee, lakini pia ulimwenguni pote kwa ujumla: kwanza kurejelewa kwa mazungumzo ya kusaka amani nchini Sudan kusini, ambapo pande hasimu zimepewa hadi tarehe 17 mwezi huu, ziwe zimesahini makubaliano ya kusitisha mapigano na kuunda serikali ya umoja wa kitaifa.Nchini Tanzania, kujiuzulu kwakiongozi wa chama cha upinzani cha CUF professa Ibrahim Haruna Lipumba kuzua kizungumkuti nchini humo, wakati kwa nchi ya Misri ulizinduliwa mfereji wa Suez.Kimataifa mapigano kuendelea kushuhudiwa nchini Yemen.Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka, kusikiliza makala haya.

Sayari ya dunia
Sayari ya dunia
Vipindi vingine