Serikali ya Sudan Kusini yajiondoa kwenye meza ya mazungumzo ya amani Addis Ababa, Ethiopia. Mlipuko mkubwa wa viwanda China.

Sauti 21:04
Sayari ya dunia
Sayari ya dunia

Katika makala haya kwa juma hili tunaangazia hatua ya serikali ya Sudan kusini kujiondoa kwenye meza ya mazungumzo, Adis Ababa Ethiopia, wakati Jumatatu ya tarehe 17 Agosti 2015, viongozi wametakiwa kusaini makubaliano ya kuundwa kwa serikali ya umoja wa kitaifa, kama ilivyopendekezwa na rais wa Marekani Barack Obama.Nchini Burundi, hali ya kisiasa yazidi kuwa tete, lakini pia Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa kumteua kiongozi mpya wa tume hiyo nchini humo.Kimataifa pia tumeangazia mlipuko mkubwa wa viwanda huko Tianjin nchini China,Karibu tujumuike sote.