Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Jumuia ya Nchi za Ukanda wa maziwa makuu kujadili hali ya Usalama ya Burundi

Imechapishwa:

Katika makala haya kwa juma hili wiki hii tumeangazia onyo la jumuia ya nchi za ukanda makuu ICGLR kuwataka wadau katika mgogoro unaolikumba taifa la Burundi kurejelea meza ya mazungumzo ambayo kwa mujibu wa jumuia ndio njia pekee ya kumaliza hali ya mauaji yanayokithiri sana nchini Humo, na huko nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya congo, aliyekuwa mwenye kiti wa tume ya kitaifa ya Uchaguzi padre Apolinaire Malumalu amejiuzulu, kufwatia sababu za kiafya.Katika nyanja za kimataifa juma hili hali ya machafuko ya mauaji ya kutumia visu yalishuhudiwa nchini Israeil ambapo vijana wa kipalestina wamekuwa wakipambana na jeshi la Israel, mauaji ambayo waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema ni ya kigaidi.Ungana nami Reubn Lukumbuka kusikiliza makala haya.

Sayari ya dunia
Sayari ya dunia
Vipindi vingine