Wachambuzi wanazungumza juu ya shambulizi la kigaidi nchini Ufaransa, dhana za chuki na kuuwa watu wasiokuwa na hatia haikubaliki kabisa. Sikiliza uhabarike na uelimike. Kila mtu ana haki ya kuishi na binadamu wote ni sawa.