Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mwaka mpya wakaribishwa vyema katika baadhi ya mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, nini matarajio yao kwa 2016?

Sauti 21:11
Fataki zikirushwa Julai 14 2016 mjini Paris Ufaransa
Fataki zikirushwa Julai 14 2016 mjini Paris Ufaransa RFI/Pierre René-Worms

Katika Makala hii tunaangazia hatua ya rais Pierre Nkurunziza wa Burundi kutishia kupambana na kikosi cha umoja wa Afrika AU ikiwa kitapelekwa nchini mwake kulinda Amani na usalama wa wananchi.Nchini Rwanda, rais Paul Kagame amesema wazi kuwa atawania Muhula wa 3 mwaka 2017, wakati kule DRC rais Joseph Kabila ameamuru kuachiwa huru wafuasi 9 wa budu dia congo, pamoja na Omari kavota ni mwanaharakati wa haki za binadamu tunaangazia matukio makubwa ya mwaka wa 2016.Katika makala hii tumeangazia pia matukio mengi ya wiki katika ukanda wa Afrika mashariki na kati, na matukio ya dunia.Jiunge nami REUBEN LUKUMBUKA BEN SALEIM kupata mengi zaidi.