Habari RFI-Ki

Kuanza kwa mwaka mpya wa masomo 2016

Sauti 10:01
Tanzania, Elimu kwa wote.
Tanzania, Elimu kwa wote. YOUTUBE

Katika makala haya tunaangazia kuanza kwa mwaka mpya wa masomo wa 2016, utasikia maoni ya baadhi ya walimu na wanafunzi wakielezea ndoto na matarajio yao, karibu uungane nami Sabina Chrispine Nabigambo.