Habari RFI-Ki

Heka heka za wanasiasa nchini Kenya zaanza kuelekea uchaguzi mkuu wa mwakani

Sauti 10:40
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na makamu wake William Ruto katika mkutano wa waandishi wa habari mjini Nairobi, Julai 21 mwaka 2015.
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na makamu wake William Ruto katika mkutano wa waandishi wa habari mjini Nairobi, Julai 21 mwaka 2015. REUTERS/Noor Khamis

Nchini Kenya joto la kuelekea uchaguzi limeanza kushuhudiwa hususan mwanzoni mwa mwaka huu ambapo wanasiasa wamejikita katika kuhama vyama na kujijenga kisiasa tayari kwa kujitosa katika uchaguzi mwakani...wakenya wanamaoni gani juu ya siasa za kikabila safari hii?