Habari RFI-Ki

Burundi yasusia mazungumzo ya amani ya mjini Arusha Tanzania

Sauti 09:43

Katika makala haya leo tunaangazia hatua ya serikali ya Burundi kususia mazungumzo ya amani yaliyopangwa kufanyika jijini Arusha nchini Tanzania kwa madai kuwa hakukuwa na makubaliano kuhusu tarehe ya mazungumzo hayo, Karibu usikie mengi