Habari RFI-Ki

Wageni waishio Tanzania kinyume cha sheria sasa kutimuliwa

Sauti 09:46
Jukwaa la tatu la kijamii Duniani la Uhamiaji lililotamatika kwa maandamano katika mitaa ya Madrid, kwa kuomba haki zaidi kwa wakazi wahamiaji, Septemba 14, 2008.
Jukwaa la tatu la kijamii Duniani la Uhamiaji lililotamatika kwa maandamano katika mitaa ya Madrid, kwa kuomba haki zaidi kwa wakazi wahamiaji, Septemba 14, 2008. ( Photo : Reuters )

Serikali ya Tanzania imetangaza oparesheni ya kupambana na raia wageni waishio kinyume cha sheria nchini humo sambamba na kupambana na rushwa kupitia maafisa wa idara ya uhamiaji ambao wanalalamikiwa kukiuka maadili ya kazi kwa kutoa vibali kinyume cha sheria.