Habari RFI-Ki

Mbwana Samatha ang'ara tuzo za soka barani Afrika

Sauti 09:50

Leo katika makala haya tunaangazia tuzo za soka barani Afrika ambapo Mbwana Samatha kutoka Tanzania akichezea timu ya TP Mazembe ya DRC aliibuk na tuzo ya mchezaji bora wa vilabu vya ndani huku Emerick Aubameyang wa Gabon akitwaa tuzo ya mchezaji bora Afrika mwaka 2015, sikiliza upate uhondo